Tanzania National Anthem

National Anthems

Tanzania National Anthem Lyrics

Tanzania

Original Kiswahili Words

Mungu ibariki Afrika

Wabariki Viongozi wake

Hekima Umoja na

Amani Hizi ni ngao zetu

Afrika na watu wake.

CHORUS

Ibariki Afrika

(repeat)

Tubariki watoto wa Afrika.

Mungu ibariki Tanzania

Dumisha uhuru na Umoja

Wake kwa Waume na Watoto

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.

CHORUS

Ibariki Tanzania

(repeat)

Tubariki watoto wa Tanzania.

English:

God Bless Africa.

Bless its leaders.

Let Wisdom Unity and

Peace be the shield of

Africa and its people.

CHORUS

Bless Africa,

(repeat)

Bless the children of Africa.

God Bless Tanzania.

Grant eternal Freedom and Unity

To its sons and daughters.

God Bless Tanzania and its People.

CHORUS

Bless Tanzania,

(repeat)

Bless the children of Tanzania.

Copyright: Lyrics © Original Writer and Publisher

Back to : National Anthem Lyrics